KINANA AKATAA MABADILIKO YA KATIBA

“Sio lazima tubadili katiba hili kubadili sheria za uchaguzi” Abdullahman Kinana

Makamu Mwenyekiti wa CCM ,Abdulrahman Kinana amesema kuwa haamini kwamba hili sheria ya uchaguzi ibadilike lazima katiba Mpya ipatikane,kwasababu zipo sheria zilizo kwenye katiba na zinabadilishwa.

Amesema Tukisema tunataka kubadili sheria ya uchaguzi na wakati imeelezwa kwenye katiba,tunaweza kufanya mabadiliko kwenye sheria hiyo na ikapigiwa kura Bungeni na ikafuta yaliyoko kwenye katiba “.

Kuhusu mchakato wa katiba kama utafika mwisho amesema ni swali la kila mtu .Amesema “Tukijadili kwanini hatukupata katiba mwaka 2015 kila mmoja hapa atakuwa na yake ya kusema. Kuna watakaosema CCM walikwamisha na kuna watakaosema ni UKAWA waliotoka nje”.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related News 📫

Mohamed Salah aonyesha nia ya kusalia Liverpool
MICHEZO Mshambuliaji kutoka nchini Misri Mohamed Salah ameonesha nia ya...
Read more
MANCHESTER UNITED YAMFUTA KAZI MKURUGENZI WAKE MKUU....
MICHEZO. Mkurugenzi Mtendaji wa Manchester United, Richard Anorld anatarajiwa kuondoka...
Read more
HOW TO IDENTIFY MALE AND FEMALE CHICK
Anyone who has had chickens most likely already knows how...
Read more
See also  Mchungaji Peter Msigwa ajivua Gwanda sasa ni Kijani na Njano

Leave a Reply