TEN HAG NA SANCHO WAGOMBANA

London Winga #JadonSancho amedai sio kweli kuwa amekuwa hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha #ManchesterUnited kwasababu hajaonesha kiwango kizuri kama kocha wake, Erick Ten Hag alivyonukuliwa,bali hivyo ni visingizio dhidi yake. Kabla ya kichapo cha jana cha 3-2 dhidi ya Arsenal, Ten Hag alisema Sancho hajaonesha kiwango kizuri mazoezini ndio maana hakuwepo katika mipango… Continue reading TEN HAG NA SANCHO WAGOMBANA

ORODHA YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA LIGI YA EPL

Michezo Dirisha la usajili la Ligi kuu ya England limefungwa ,ambapo ni rasmi sasa vita ya kusaka Ubingwa wa ligi hiyo pendwa ulimwenguni umeshika kasi. Ligi hiyo yenye vilabu 20 imepata mtikisiko kwenye kipindi hiki baada ya Ligi kuu Saudia Arabia kumwaga fedha ambazo zimewavuta mastaa kwenda kwenye ligi ya Saudia. ORODHA YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA… Continue reading ORODHA YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA LIGI YA EPL

UTAWALA WA FAMILIA YA BONGO WAFIKIA TAMATI banner

Gabon Katika hali isio ya kutegemewa,majeshi ya Gabon yamefanikiwa kumwangusha Ali Odhimba Bongo Rais wa nchi hiyo ambaye ametawala tokea 2009 mpaka leo. ALI BONGO mtoto wa Kanali Omar Bongo ambaye aliitawala nchi hiyo toka uhuru mwaka 1967 mpaka alipofikwa na umauti mnamo mwaka 2009. “Tumevunja Bunge,Serikali na Mahakama. Hakuna mhimili wowote utakaofanya kazi kuanzia… Continue reading UTAWALA WA FAMILIA YA BONGO WAFIKIA TAMATI banner

SABABU ILIOFANYA YANGA KUFUNGIWA HII HAPA

Dar es salaam. Klabu ya #Yanga imefungiwa kusajili baada ya kushindwa kwenye kesi na mchezaji wake wa zamani Gael Bigirimana. Yanga ilipewa siku 45 kuhakikisha imemlipa mchezaji huyo raia wa Burundi malipo yake ya ada ya usajili. Klabu hiyo ilitakiwa iwe imemlipa ndani ya siku 45 tangu uamuzi huo ulipotolewa lakini haikutekeleza hukumu hiyo .… Continue reading SABABU ILIOFANYA YANGA KUFUNGIWA HII HAPA

YANGA YASIMIKA MINARA MIWILI YA 5G NBC PREMIER LEAGUE

Dar es salaam. Ligi ya NBC TANZANIA imeendelea leo kwa mchezo mmoja uliovurumshwa kwenye dimba la Chamanzi ukiwakutanisha Young Africans na Maafande wa JKT. Mchezo huu umeanza kwa timu zote mbili kucheza kwa tahadhali kubwa huku maafade wa JKT wakionekana kuwamiliki vizuri vijana wa Yanga. #Yanga inayonolewa na Muargentina Gamondi imefanikiwa kupata goli la kwanza… Continue reading YANGA YASIMIKA MINARA MIWILI YA 5G NBC PREMIER LEAGUE

MFAHAMU BALOZI ALI IDI SIWA MKURUGENZI MPYA USALAMA WA TAIFA

Makala Fupi Jana Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa usalama wa Taifa na safari hii ni Balozi Ali Idi Siwa . Hii inakuja katika miaka 2 ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kuwa na teuzi za Wakurugenzi watatu ndani ya muda mfupi. Wakati Rais Samia Suluhu anaingia madarakani kufuatia,kifo cha mtangulizi… Continue reading MFAHAMU BALOZI ALI IDI SIWA MKURUGENZI MPYA USALAMA WA TAIFA

BRICS YAPATA WANACHAMA WAPYA 6

Johannesburg Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa ni kuwa kundi la Mataifa yanayoibuka kiuchumi (BRICS), Januari 2024 litapokea Wanachama wapya ambao ni Argentina, Misri, Ethiopia, Iran,Saudia Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Ramaphosa amesema takriban nchi 40 Duniani zimeonesha nia ya kujiunga na #BRICS huku nchi 23… Continue reading BRICS YAPATA WANACHAMA WAPYA 6

KINANA AKATAA MABADILIKO YA KATIBA

“Sio lazima tubadili katiba hili kubadili sheria za uchaguzi” Abdullahman Kinana Makamu Mwenyekiti wa CCM ,Abdulrahman Kinana amesema kuwa haamini kwamba hili sheria ya uchaguzi ibadilike lazima katiba Mpya ipatikane,kwasababu zipo sheria zilizo kwenye katiba na zinabadilishwa. Amesema “Tukisema tunataka kubadili sheria ya uchaguzi na wakati imeelezwa kwenye katiba,tunaweza kufanya mabadiliko kwenye sheria hiyo na… Continue reading KINANA AKATAA MABADILIKO YA KATIBA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner