TEN HAG NA SANCHO WAGOMBANA
London Winga #JadonSancho amedai sio kweli kuwa amekuwa hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha #ManchesterUnited kwasababu hajaonesha kiwango kizuri kama kocha wake, Erick Ten Hag alivyonukuliwa,bali hivyo ni visingizio…