ASKOFU MALASUSA ACHAGULIWA KUWA ASKOFU MKUU WA KKKT AKIMRITHI DKT SHOO
Dar es salaam. Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani,Dkt Alex Malasusa amepata nafasi hiyo baada ya kuchaguliwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 21 wa Kanisa la Kiinjili la…
Dar es salaam. Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani,Dkt Alex Malasusa amepata nafasi hiyo baada ya kuchaguliwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 21 wa Kanisa la Kiinjili la…
Zurich Shirikisho la soka Duniani, FIFA,linapanga kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Rais wa Shirikisho la soka nchini Uhispania ,Luis Rubiales, kutokana na kitendo alichokionesha wakati wa fainali ya kombe…
Johannesburg Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa ni kuwa kundi la Mataifa yanayoibuka kiuchumi (BRICS), Januari 2024 litapokea Wanachama wapya ambao ni Argentina, Misri,…
"Sio lazima tubadili katiba hili kubadili sheria za uchaguzi" Abdullahman Kinana Makamu Mwenyekiti wa CCM ,Abdulrahman Kinana amesema kuwa haamini kwamba hili sheria ya uchaguzi ibadilike lazima katiba Mpya ipatikane,kwasababu…
Makala Fupi Hivi ni viashiria vya Mwanamke ambaye hajatulia 1.SIO RAHISI KUPENDA Dalili ya kwanza ya Mwanamke malaya ni kwamba mara nyingi huwa hataki mambo ya mahusiano na mambo ya…
https://www.youtube.com/live/DoPI0hHNuuQ?feature=share
Mbeya. Wakili Boniface Mwabukusi na Mwanachama wa CHADEMA Mpaluka Nyagali (Mdude) wameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi Mbeya kwa siku kadhaa tangu walipokamatwa Mkoani Morogoro. Philip…
Makala Fupi Takwimu za World Population Review na Benki ya Dunia kwa kipindi cha takribani Miaka 5,Nchi za Afrika zinakadiriwa kupokea32% ya misaada ya kifedha kutoka Marekani, 31% ni Nchi…
Michezo Ligi ya Saudi Pro League imeleta mageuzi makubwa kwenye soka la Dunia hasa kwa kutoa mishahara mikubwa na ada kubwa za uhamisho kwa wachezaji wakubwa. Licha ya hayo yote…
Dodoma. Rais wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassan amewaapisha MabaloziWateule Ikulu Chamwino Dodoma leo Agosti 16,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba ni kwamba kuna Mabalozi ni kama vile…