ORODHA YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA LIGI YA EPL
Michezo Dirisha la usajili la Ligi kuu ya England limefungwa ,ambapo ni rasmi sasa vita ya kusaka Ubingwa wa ligi hiyo pendwa ulimwenguni umeshika kasi. Ligi hiyo yenye vilabu 20…
Michezo Dirisha la usajili la Ligi kuu ya England limefungwa ,ambapo ni rasmi sasa vita ya kusaka Ubingwa wa ligi hiyo pendwa ulimwenguni umeshika kasi. Ligi hiyo yenye vilabu 20…
Gabon Katika hali isio ya kutegemewa,majeshi ya Gabon yamefanikiwa kumwangusha Ali Odhimba Bongo Rais wa nchi hiyo ambaye ametawala tokea 2009 mpaka leo. ALI BONGO mtoto wa Kanali Omar Bongo…
Dar es salaam. Klabu ya #Yanga imefungiwa kusajili baada ya kushindwa kwenye kesi na mchezaji wake wa zamani Gael Bigirimana. Yanga ilipewa siku 45 kuhakikisha imemlipa mchezaji huyo raia wa…
Dar es salaam. Ligi ya NBC TANZANIA imeendelea leo kwa mchezo mmoja uliovurumshwa kwenye dimba la Chamanzi ukiwakutanisha Young Africans na Maafande wa JKT. Mchezo huu umeanza kwa timu zote…
Makala Fupi Jana Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa usalama wa Taifa na safari hii ni Balozi Ali Idi Siwa . Hii inakuja katika miaka 2…
Michezo Nyota wa Inter miami na mshindi mara 7 wa balloon'dor Leo Messi ameendelea kushika vichwa vya habari vya Ulimwengu baada ya kuonekana akiwa kwenye ulinzi wa hali ya juu…
Orodha hii inaangazia wasanii kutoka bara la Afrika sio wenye asili ya Afrika wanaolipwa hela nyingi kwenye show zao. Hii tumeiweka kwa dola hili kuweka usawa kwa maana Msanii wa…
Dar es salaam. Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani,Dkt Alex Malasusa amepata nafasi hiyo baada ya kuchaguliwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 21 wa Kanisa la Kiinjili la…
Zurich Shirikisho la soka Duniani, FIFA,linapanga kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Rais wa Shirikisho la soka nchini Uhispania ,Luis Rubiales, kutokana na kitendo alichokionesha wakati wa fainali ya kombe…
Johannesburg Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa ni kuwa kundi la Mataifa yanayoibuka kiuchumi (BRICS), Januari 2024 litapokea Wanachama wapya ambao ni Argentina, Misri,…